Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Wimbo huuTupe moto wa uhai uliowaka zamani,
Uliowaongoza juu Wazee watakatifu.
Wapi roho iliyokaa moyoni mwa Ibrahimu?
Kadhalika ndugu Paulo aliwezeshwa na moto.
Neema yako haina nguvu siku hizi sawa
Kama wakati wa Musa, Ayubu na wa Eliya?
Zamani za kale, Bwana, Kumbuka na kwa rehema,
Zihuishe roho zetu Kwa Roho Mtakatifu.
Usiseme hivyo rafiki au kisa wametaja hao wazee wa kale ...Kiukweli naupendaWimbo huu
Nauona kama wa mazishi
Rafiki nakusabahi
[emoji1787][emoji1787]Usiseme hivyo rafiki au kisa wametaja hao wazee wa kale ...Kiukweli naupenda
Naona jana mmepokea kichapo , poleni aisee... Football haitabiriki.
Hahahaha [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Maji kupwa
Maji kujaa
Hakuna la ajabu hapo
KatuHahahaha [emoji23][emoji23]
Jana hukubet eeh ?
Katu
Siwezi bet
Kwa Arsenal
Maumivu yake ni noma na nusu [emoji1787]
Mmh sshv ni photoshoot tu,cm inazingua hiiMiss u moree wiii[emoji3059][emoji3590][emoji8]
Tunaomba uselfike[emoji847]
So do I, well... I wish I cudu be in my mid 30s[emoji23]I wish I could be in my late 30's [emoji1]View attachment 2177181
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha.....
Pale hamna timu, na vile boss wenu anauza timu kwahiyo mtakuwa kama Newcastle united tu [emoji2957][emoji2957]
Sasa team ikiuzwa ndiyo nini?Hahahaha.....
Pale hamna timu, na vile boss wenu anauza timu kwahiyo mtakuwa kama Newcastle united tu 🤪🤪
Sindo nshaotea parachichi....Otea Lizzy bana au nikupe mji 😂😂
Mlebanon 🤣🤣Yanii Mideko nimesalute [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] naona juzi alikua 2020 enzi za mlebanon huko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2177046
MmmhSasa team ikiuzwa ndiyo nini?
Tuna imani na vijana wetu plus kocha, hata tukiwa Kongolo FC still we can go extra miles.
Daraja litavukwa, mpende msipende.
Lenu iloooo aseno, kama sio lenu basi la majirani zenu Man U [emoji2957][emoji2957]
Ameeennnn!!!! Hallelujah!