Selfika na JF: Snap it. Show it

Sasa hivi wanafanya jaribio la kuweza kuhifadhi data kwenye dna.

1 gram ya dna inaweza kuhifadhi 215 milioni GB.
 
Tayari hii ipo kitambo but now wana introduce mdogo mdogo.. kama wakiweka data za kidwanzi tujiandae kuwa na wadwanzi.. dna inatoa maelekezo.. hatari sana
Microsoft ndio walikuwa wanafanya hii issue, yaani kuweka data storage kama Hard Disk kuhifadhi data kama music, videos e.t.c sio poa, kama wakifika hapa wataanza kutu program sasa..
 
Microsoft ndio walikuwa wanafanya hii issue, yaani kuweka data storage kama Hard Disk kuhifadhi data kama music, videos e.t.c sio poa, kama wakifika hapa wataanza kutu program sasa..
Ukiwa programed unakuwa unaweza kupokea pia comand.. ya nini cha kufanya.. unaweza pokea comand kidude kilale forever au kisimame forever 😄😄😄😄
 
Hatari sana..this DNA issue still reveals kwamba Mungu ni fundi.
DNA is known as the language of life. Where do you think that language came from? It came from God! Nothing exists without His life being imparted to it. According to 1 John 4:4, we are of God. In other words, we are His offspring, which means the life God has is also imparted to us.
 
Tupe moto wa uhai uliowaka zamani,
Uliowaongoza juu Wazee watakatifu.

Wapi roho iliyokaa moyoni mwa Ibrahimu?
Kadhalika ndugu Paulo aliwezeshwa na moto.

Neema yako haina nguvu siku hizi sawa
Kama wakati wa Musa, Ayubu na wa Eliya?

Zamani za kale, Bwana, Kumbuka na kwa rehema,
Zihuishe roho zetu Kwa Roho Mtakatifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…