Ndiioo ndioooo!! santo sanaaaaa ππβοΈ[emoji846]View attachment 2177099
Sitoki Bosi Ledi [emoji16]ulikua wapi msukuma jamani haya kaa hapo hapo usitoke
Shemeji huyoo,, ile mishe yetu umekaa kimya sana shemeji [emoji4][emoji4]Msukuma Kwaresma + Ramadhan hii Sitaki tabu na mtuu[emoji8][emoji8][emoji12]!View attachment 2177103
Buti limekaa mahala pake... ulipita jkt eehh[emoji8][emoji8][emoji12]??[emoji846]View attachment 2177099
Asante Boss Lady. Kweli hili ni vazi la heshima japo halijafanikiwa kuficha yanayopaswa kuonekana. An African woman! [emoji91][emoji91][emoji91][emoji8]Msukuma Kwaresma + Ramadhan hii Sitaki tabu na mtuu[emoji8][emoji8][emoji12]!View attachment 2177103
Sijambo babuu! Mwambie bibi vibaya hivoo awe anakuachia walau wazee hamtakiwi kubabwa kiivo Jamani!Bibi yako leo amenifanyia makusudi ya kunifichia Miwani yangu, yaani Usiku huu ndiyo kanirudishia [emoji85][emoji2957][emoji2957]
Anyways, hujambo lakini Mjukuu?
Ingekuwa ni huku Kijijini wangesema nina mguu mzuri, yaani naingia tu nakutana na Neema za Allah πMsukuma Kwaresma + Ramadhan hii Sitaki tabu na mtuu[emoji8][emoji8][emoji12]!View attachment 2177103
Juzikati Nilikutafuta sana shem dogo alikua amekuja kunisalimia ujue!Shemeji huyoo,, ile mishe yetu umekaa kimya sana shemeji [emoji4][emoji4]
Boss ledi wa nguvuMsukuma Kwaresma + Ramadhan hii Sitaki tabu na mtuu[emoji8][emoji8][emoji12]!View attachment 2177103
Nitamwambia, vipi Kuna mtu ulimwagiza aniletee dawa zangu za kikohozi au umesahau tena??π€ͺπ€ͺSijambo babuu! Mwambie bibi vibaya hivoo awe anakuachia walau wazee hamtakiwi kubabwa kiivo Jamani!
π€π€π€π€πππ Asante msukuma!!Asante Boss Lady. Kweli hili ni vazi la heshima japo halijafanikiwa kuficha yanayopaswa kuonekana. An African woman! [emoji91][emoji91][emoji91][emoji8]
Boss ledi wa nguvu
Nitamwambia, vipi Kuna mtu ulimwagiza aniletee dawa zangu za kikohozi au umesahau tena??π€ͺπ€ͺ
Babu yako bado naumwa ujueπ
That's powerful, wakazieni watoboe....πππ
kwema sana! Vijana wako poa msukuma tunaendelea kuwarescue ado ado !! Tunaamini Watatoka tu !!
Kuna haja ya kurudi Bukoba... Mwenye nyumba wangu sijui atakuwa ametoa vyombo vyangu?!!!Msukuma Kwaresma + Ramadhan hii Sitaki tabu na mtuu[emoji8][emoji8][emoji12]!View attachment 2177103
Bado kitu kimoja pembeni ππ
hahahaaaaa!!!Kuna haja ya kurudi Bukoba... Mwenye nyumba wangu sijui atakuwa ametoa vyombo vyangu?!!!
Yaniii ..That's powerful, wakazieni watoboe....