[emoji1787] Nimeshatoka kitambo babuu vipi nije kukupa kampani tusogeze masaahapo naona upo idle[emoji849][emoji12]!Hahahaha.....Sasa miaka 73 sio Babu jamani[emoji2957][emoji2957]
Nimepita Leo mitaa yenu, piga honi akatoka Dada wa Kazi akasema umeenda Kanisani[emoji2957]
Utakuwa umefanya vizuri Mjukuu, manake sisi Wazee hatupaswi kuachwa wapweke muda mrefu π€ͺπ€ͺπ[emoji1787] Nimeshatoka kitambo babuu vipi nije kukupa kampani tusogeze masaahapo naona upo idle[emoji849][emoji12]!
Hahahaaa.. usiwaze nitaagiza nikifika ngoja nijiandae fasta unipe location!Utakuwa umefanya vizuri Mjukuu, manake sisi Wazee hatupaswi kuachwa wapweke muda mrefu [emoji2957][emoji2957][emoji85]
Kwahiyo nikuagizie nini in advance? Au ukifika nitaku connect na watu wajikoni uagize mwenyewe [emoji2957]
Vinywaji utatumia hizi ngumu za Babu au zako ni soft [emoji485]
Fika ofisi ya Waziri Mkuu, Kuna bahasha yako imetoka PostaπHahahaaa.. usiwaze nitaagiza nikifika ngoja nijiandae fasta unipe location!
Nafika hapo soon!Fika ofisi ya Waziri Mkuu, Kuna bahasha yako imetoka Posta[emoji85]
Unaenda zenji au..? [emoji848]
Za kupotea? Happy Sunday to you too...
Babu waitingNafika hapo soon!
Mhuuu. Au inabidi nile tena hapo katikati??πUkimaliza hiko ndio mpaka usiku?
Yuppp!!Wewe dada unapenda kupika eeh?
Raha tupu ππUmeanza SASA kutest mitambo ππ utasikia mpaka mluzi underground ππ
Grahams babuuu wa michongooo π¬π¬π¬Ulitokelezea sana babu
DepalEmu nikooleshe kile kikohozi cha Harmonize Lenie View attachment 2174547
Niaje mwanetu..
ππππNiaje mwanetu..
9.8ms squared[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ni good aisee, haina kabaya!!Fresh tu mkuu wangu
Kwema lakini pande hizo