Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
πππ nisipo msifia roho yangu Nuzulati nimsifie nani.. yeye ndio maana harisi ya maisha yangu... πHahahaa napenda venye uko proud na unampenda baby wako. Safi sanaa
Asantee, can't wait to taste itπ
Cha Mtume π₯°
Ukimaliza hiko ndio mpaka usiku?
Kweli unajua kuwanyanyasa watu [emoji23]
Bro nipe mji.. bado hujapatia location..Korongwe.
Hapo ni korogwe.Bro nipe mji.. bado hujapatia location..
Wewe dada unapenda kupika eeh?
πππ.. Lenie una kitu chako special.. kitu unique yaani umependelewa.. acha nifunge π€π€Wachaaaaπ
Nikiwa mkubwa natamani niwe na wakunisifia kama hivyoπ
[emoji23][emoji23]