Reality TV shows wanaonyesha maisha halisi ya mastaa kwenye runinga kama keeping up with the Kardashians , the real wives of Durban , na hii inayo sasa trend Young , famous and African .Ndio vitu gani??
Tv nikiangalia huwa naangalia taarifa ya habari tu na Upendo Tv[emoji23]
Eeh tukuweke Makumbusho ya taifaUnataka niwe ngongoti skwea?[emoji134]
Nalitema wapi huko tena?Hilo yai
Unalotema fluent
Ulikulia uzunguni[emoji848]
Nawekaga Ebenezer tv , Rabi Tv , ATN ,na Emmanuel Tv .Upendo TV
Ikiwa kwa wapi[emoji1787]
Leo mwendo wa old school tuBaba na mwana.
Baba na mwana, tunaimba na kucheza
Show ya wastaarabuLeo mwendo wa old school tu
Show hii nzuri sana
UnanijuaBaba na mwana.
Baba na mwana, tunaimba na kucheza
Kweli kabisaShow ya wastaarabu
[emoji38]Eeh tukuweke Makumbusho ya taifa
Selfika bhas[emoji38]
Mmmh Ammy gal huyu hapa. Isijekuwa ni yeye alikuwepo kabla ya Fetty? Ila Ile nguo....Kweli kabisa
Pongezi kwa Basata
Soon nini?Unanijua
Mimi nani
Soon[emoji1787][emoji1787]
Yes Ammy gal amepandaMmmh Ammy gal huyu hapa. Isijekuwa ni yeye alikuwepo kabla ya Fetty? Ila Ile nguo....
Wewe sio old school [emoji23]Nyakati zenu
Old skul
Ooh hakikaNyakati zenu
Old skul
Mmh 70 uwe wewe ?Naanzia wapi
Ndio kwanza
Natimiza 70