π€£π€£π€£ Nimecheka kama chizi! Sasahivi hii ya huyu mama wa kudai risiti iambatane na chenchi kwenye baa Nimecheka nakaribia kudondoka hapa!! π€£π€£πππ Sijui ni msukuma sijui ni mnyaki uwiii Mbavu sinaaa π€£π€£π€£Ulikaaje [emoji1787]
Kinyaki hicho. Mpoki kamkomesha eti nakuletea risiti kanisani[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nimecheka kama chizi! Sasahivi hii ya huyu mama wa kudai risiti iambatane na chenchi kwenye baa Nimecheka nakaribia kudondoka hapa!! [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] Sijui ni msukuma sijui ni mnyaki uwiii Mbavu sinaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
!
Yameshakushindaacha nikae kimyae na ni funge mdomo wangu [emoji51][emoji51]
Nilikaa kidadaUlikaaje [emoji1787]
Joti ni habari nyingineYani nimecheka sana!!! hawa wawili wana uniqueness zao fulani hivi zinanogesha sana!! Dah kumbe katika hili kundi walikua wananikosha sana na masanja!
Ndiioooo !!Mahaba ndi ndi ndiiii β₯οΈβ₯οΈβ₯οΈβ₯οΈπNjiwa peleka salamu
Kwa yule wangu muhibu
Njiwa peleka salamu
Kwa yule wangu muhibu
Umweleze afamu
Kwamba ninapata taabu
Umweleze afamu
Kwamba ninapata taabu
Hali yangu mahabubu
Oooh maradhi yameniswibu
Hali yangu mahabubu
Oooh maradhi yameniswibu
Ewe njiwa, ewe njiwa (Peleka salamu)
Kwa yule, kwa yule (Wangu muhibu)
Ewe njiwa, ewe njiwa (Peleka salamu)
Kwa yule, kwa yule (Wangu muhibu)
Yaniii!! kuna kitu kimepungua sana!Joti ni habari nyingine
ππππ€
Mpambe kazini... !!π€£π€£!! Akikaa nyuma kikike!π πUlikaaje [emoji1787]
Hahahha [emoji23]Ndiioooo !!Mahaba ndi ndi ndiiii [emoji3531][emoji3531][emoji3531][emoji3531][emoji8]
Wabheja sana! salamu na zimfikie[emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji12][emoji12][emoji12]
π€£π€£π€£π€£π€£πππππππ!!!Hahahha [emoji23]
Dear naangalia tuzo hizi za TMA ,huyu mmama Patricia Hillary amenikosha sana .
sasa anaimba mapenzi yananitatiza
Itapigwa Qaswida Kali sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mambo
Umesema harusi yako
Itapigwa nyimbo gani[emoji1787][emoji848]
Kwanza harusi yako na nani[emoji848]
Ndiyo unanishtua kama tuzo ni leo. Ngoja nifuatilieHahahha [emoji23]
Dear naangalia tuzo hizi za TMA ,huyu mmama Patricia Hillary amenikosha sana .
sasa anaimba mapenzi yananitatiza
Ooh yeah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]!!!
[emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]!
Angalia dear ..Ndiyo unanishtua kama tuzo ni leo. Ngoja nifuatilie
Kwa kweli.Angalia dear ..
Show ndo imeanza sasa .. tulimiss mambo haya .
Kweli tunatofautianaHahahha [emoji23]
Dear naangalia tuzo hizi za TMA ,huyu mmama Patricia Hillary amenikosha sana .
sasa anaimba mapenzi yananitatiza
Na ole wake achepuke huyo njiwaNjiwa peleka salamu
Kwa yule wangu muhibu
Njiwa peleka salamu
Kwa yule wangu muhibu
Umweleze afamu
Kwamba ninapata taabu
Umweleze afamu
Kwamba ninapata taabu
Hali yangu mahabubu
Oooh maradhi yameniswibu
Hali yangu mahabubu
Oooh maradhi yameniswibu
Ewe njiwa, ewe njiwa (Peleka salamu)
Kwa yule, kwa yule (Wangu muhibu)
Ewe njiwa, ewe njiwa (Peleka salamu)
Kwa yule, kwa yule (Wangu muhibu)
Ndio maanaNjiwa peleka salamu
Kwa yule wangu muhibu
Njiwa peleka salamu
Kwa yule wangu muhibu
Umweleze afamu
Kwamba ninapata taabu
Umweleze afamu
Kwamba ninapata taabu
Hali yangu mahabubu
Oooh maradhi yameniswibu
Hali yangu mahabubu
Oooh maradhi yameniswibu
Ewe njiwa, ewe njiwa (Peleka salamu)
Kwa yule, kwa yule (Wangu muhibu)
Ewe njiwa, ewe njiwa (Peleka salamu)
Kwa yule, kwa yule (Wangu muhibu)