Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,209
- 183,055
Mwehh ungejuaaaaahhh!Umemumiss ghafla
[emoji1787][emoji1787][emoji2089][emoji2089]
Mamlai anamuita mlebanon[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Sijammis hata chembe!! Labda kinyume cha hapo ndio kinaweza kuwa ukweli... Nimesema Labda......😳😳!
Anyway Mambo yake tumuachie mwenyewe!😜