Selfika na JF: Snap it. Show it

Unaweza mtambua ambition plus hapo ni yupi katika hao vijana...
Selfie ilichukuliwa miaka saba iliyopita..
Hapo ni cafeteria, ni kazi yangu ya kwanza ya kueleweka...

Katika hao vijana wanne,watatu wote walifukuzwa kaz kwa nyakati tofauti,kila mmoja na ana stori yake.

Aliyebaki kazini ni ambition + tu.
 

Attachments

  • Screenshot_20220402-112946_Facebook.jpg
    20.5 KB · Views: 15
Huyu wa saa na ringi, hongera sana dogo Kwa kua ambitious jina linasadifu


Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Mpiga picha
 
Mpiga picha
Ukiangalia vizuri,hapo mpiga picha na huyo bwana mwenye ringi na saa mikononi walikua wakishindana nani mwenye simu inayeweza kuchukua selfie kali,mpiga picha akiwa na simu inaitwa asus na bwana mwingine akiwa na camon c9..

Hakika ni ngumu kumjua ambition + katika hao vijana wanne.
 
T shirt ya njano
Uso mwembamba sawa sawa na selfie ambazo nishazibamba hapa ukipost.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…