Nilikuwa najiuliza wewe ni nani, ila kwa hizi cents nimekujua π
Aaargh, hebu onyesha mfano niige basi!MALCOM LUMUMBA mkuu shikamoo, naomba uselfike..
Hebu ngoja niangalieMALCOM LUMUMBA mkuu shikamoo, naomba uselfike..
Nasubiria βΊοΈHebu ngoja niangalie
Sasa nimetoka maeneo mabaya, lakini ngoja nikutumie tu!Nasubiria βΊοΈ
Jitahidi π€Sasa nimetoka maeneo mabaya, lakini ngoja nikutumie tu!
Nimetuma mbili aiseeHata sijasifia umefuta π MALCOM LUMUMBA
Yaan yaan ngoja tu iwe hivi π π
Nimefanikiwa kuziona zote, ila umewahi kufuta ππNimetuma mbili aisee
Aiseeee, π€£Nimefanikiwa kuziona zote, ila umewahi kufuta ππ
Ile dental formula/ tabasamu naweza hata ilia ugali nusu na ukaisha πββοΈ πββοΈ
Mabaharia watakwambia we tafuta hela tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Sidhani kama uliishia kunywa maji peke yake....Drink water
Chap kwa haraka dk 1 unafutilia mbali π