naona mtaalamu juu, anaweka sawa.. umesikia Tanesco wanaanza ku outsource kwenye upande wa service and maintenance kwenye upande wa line.. sasa hivi wana weka point za line vizuri kabla hawajaanza wapa wakandarasi

wasingeweza line zote zile kuzi maintain lazima zingewatoa out.. na haya ma line ya lea.. ni vyema wameona wazi outsource bila ivyo zingewapa sana shida