Yanii ana ngozi nzuri mnooo..mwezi huu sura yangu siielewe kabisa !! wakati nilichokua natumia ni kile kile sikuzote yani sielewiiii Saivi nina mapele balaa!
Hako navaa ma mchungaji fanya kunipasia size yangu 39/40 . Una kucha nzuriii dah! Hivi ulishagombeaga u miss eehh?? naona unafaa sana plus u fashionist !!
Yanii ana ngozi nzuri mnooo..mwezi huu sura yangu siielewe kabisa !! wakati nilichokua natumia ni kile kile sikuzote yani sielewiiii Saivi nina mapele balaa!
U-miss na matege yangu na sura hii ya kinyaki? Fashionista wapi boss ledi mweeh
Sasa hivi si unafanya diet; pambana uzito ukishakaa vizuri anza kutupia mid heels mara mojamoja. Gradually utaanza kuzizoea then huyo unahamia kwenye high.