Waso na Na dini na wasiokua na imani na Mungu ila sisi tuliolelewa ktk dini tunaambiwa hvyo kwa mujibu wa imani yangu mwanaume ni kiongozi wa mwanamke na sinaga ujasiri wa kupingaga maandiko aseehh!!!Kuna wanawake wanapinga hili inapelekea familia kila mtu Ni msemaji
Na wapingaji up siwezi walaumu sana maana masuala ya ndoa au mahusiano ni very sensitive issues ,kama mwanaume ukiwa marioo ,dependent kwa mkeo!majukumu ya kifamilia kabeba mama kila kitu,mwishowe watu hukosa kujiamini ndo vurugu zinaaza hapo ,baba kambale,mama kambale na mtoto kambale.Kuna wanawake wanapinga hili inapelekea familia kila mtu Ni msemaji
Safi sana mkuu.. sijajikita sana kwenye Technical nimewaachia wazee huko.. nina na deal zaidi PM.. waachie vijana madiniTuko navijana kibao kwa sasa, tunaendelea kuwapika na tumekuwa wasimamizi washauri japo umri wetu bado mdogo ila uzoefu tunao kidogo.
Daslamu Victoria vodacom house
Siamini, hadi wewe unatukandia live bila chenga😅hamna kitu hapo.. humu mwenye macho makali ni Strawbella na Lizzy wengine tupa kule 😎😎
Embu msifie mtoto mzuri acha ujinga 🤨🤨hamna kitu hapo.. humu mwenye macho makali ni Strawbella na Lizzy wengine tupa kule 😎😎
😎😎😎 msema kweli 🤓🤓🤓Siamini, hadi wewe unatukandia live bila chenga😅
humu kuna mtoto mzuri mmoja tu ambae ni Nuzulati wengine mkwenda zenu 😎😎😎Embu msifie mtoto mzuri acha ujinga 🤨🤨
Daah sawa, ila napendaga tu we sio mnafiki, kwenye hilo mbingu yako tayari😛😎😎😎 msema kweli 🤓🤓🤓
sema na wewe una kakitu kako special hakuna mwenye nako humuu.. 😎😎😎Daah sawa, ila napendaga tu we sio mnafiki, kwenye hilo mbingu yako tayari😛
Usifanye nianze kuringa mie niwe... au basi😂sema na wewe una kakitu kako special hakuna mwenye nako humuu.. 😎😎😎
Linga mama la mama Lenie kitu amazing sanaUsifanye nianze kuringa mie niwe... au basi😂
Najua unaona kwamba yanaitahamna kitu hapo.. humu mwenye macho makali ni Strawbella na Lizzy wengine tupa kule 😎😎
weeeeee 🐒🐒🐒Najua unaona kwamba yanaita
Hata usipokiri hadharani 🤣
Kumbe anayaelewa, sema jeuri ndio ako nayoNajua unaona kwamba yanaita
Hata usipokiri hadharani 🤣
Kwani yeye ni nani?! 🤣🤣Siamini, hadi wewe unatukandia live bila chenga😅