Huku daily kuona Mt. Meru
Pole sana ππZinavutia sana,ila ubaya mimi sio mpenzi wa ndizi kabisa,nimezaliwa kwa wazaramo[emoji2][emoji2]
Njema kabisa shangazi shangazi ππ.. tupia basi shangazi.. mijomba nafsi zetu zifurahiNiambie mjomba,uko poa?
πππ dereva ni mie mwenyewe malaika Lizzy.. usijali kuhusu beiMwambie dereva anipigie...ila bei za Uber π
Mchagga mie ni π€ ndo imenifurahisha πππ
tubadirishane basi nikupe yangu unipe yako ππMy new BABY π€π€π€π€View attachment 2170371
mwisho wa mwezi ππ
Mafao ya babu G hayo, naenda kumtunziamwisho wa mwezi ππ
Inabidi tuweke Tochi kwa juu zile za Benja Stadium πHuku daily kuona Mt. Meru
Hata halivutii sana π
Mpaka siku pawe angavu ndio nauona mzuri.
πππππtubadirishane basi nikupe yangu unipe yako ππ
Nashangaa our Pride kwa mbaali kabla sijarudi kwa MakalaPride of Tanzania.......!!βοΈβοΈ
Nilikua nimeagiza ugali dagaa hapa baada ya kuona hii picha nimecancel order.
My new BABY π€π€π€π€View attachment 2170371
M1 Macbook?My new BABY π€π€π€π€View attachment 2170371
Njema kabisa shangazi shangazi ππ.. tupia basi shangazi.. mijomba nafsi zetu zifurahi
yangu nimeichukua tu kama wiki tatu zimepita ππ kwaiyo nita jitop up mwenyewe kwa kuwa bajaji wako πππππππ
Una-top up sh. ngapi? π€π€π€
na nina sikia usingizi kweli hapa ππKama nakuona ukisubiria Mkuu...ukitoka tuu katumaa ukirudi holaaa
ππ tukimaliza tutafuta mtaji mwingineAngalia tu tusije tukamaliza mtaji πππ