Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,631
- 38,749
Umeanza ubaguzi!
Tabia yako sio nzuri! Hivi umeona unikatishe tamaa kabisaa jamani
Wewe hushindwiii kituu
Hahaha vigezo na masharti kuzingatiwa...
Mshindi anaweza kushinda hata kwa kauli zake nzuri tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ahsante, siku ukianzisha uzi kuhusu kuonesha lips na urembo wa kucha usisahau kunitag.
Yaani uliruka majivu ukaenda kukanyaga mkaa wa moto
Mmhh wewe yawezekana haujaona picha zote kwenye huu uzi, kuna visu humu hatari.
Umeanza ubaguzi!
Tabia yako sio nzuri! Hivi umeona unikatishe tamaa kabisaa jamani
Hapana mimi sina mashaka kabisa...
Wewe hukujua kama ningekubamba na top 10 yako! Acha kunijaza bana, msituumize wenye sura za baba zetuSasa wewe kwa guu lile unakosekana vipi top 3??
Lizarazu Ni noma sana[emoji23][emoji23][emoji23].
Anajua Sana kunikosha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo kwenye kauli nahisi wewe dada yangu utakuwa wa kwanza kabisa
Nakusalimia tuu mimi jamani kakaUtaua watu nakwambia...Hizo Lips ulizoweka watu washajifia huko[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Hallelujah
Tabasamu lako tuu mie hoooiii...
#olewakoukuteumetumayawifiyako#
Wewe hukujua kama ningekubamba na top 10 yako! Acha kunijaza bana, msituumize wenye sura za baba zetu
Naona umebadili gia angani jamaniSasa mashindano ya huu uzi sura hazionekani kwa hyo hazihusiki.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dada hebu fanya kunipigia pasi hapo nami nina moyo etii[emoji2][emoji2]
Kwa heshima zote hiyo picha naomba ndio uweke fullwaenda wapi sasa, jioni nitaweka picha yangu na nita verify akaunti yangu [emoji5]