Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
Sanaaa. She screams class.
Haujaribu; you are simply doing it; it's your thing. Ngoja tuwe wanafunzi wako watiifu, watatukoma wanyaki🥰🥰Nkamu Nkamu wewee
tunajaribu tu nkamu
Sijabadili
Naona tu hali ya hewa ni changamoto toka nimefika huku[emoji19]
Wangu mdogo mno natamani niongezeke ILa ndio mvivu kula
Na Mimi wiki hii nipo nasoma somo kuhusu Roho Mtakatifu.
Kiukweli ni somo Muhimu mno na ninalihitaji sana.
Unakuja unakataa😂
Huyu dada ni habari nyingine aisee [emoji91][emoji91][emoji119]
Bosi Ledi siyo poa yaani. Nimechelewa ila siyo ishu kivile. Lala salama na Mungu Akulinde wewe na vimalaika vyako na baba yao [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Katika maisha usipende kujilinganisha mdogo wangu binadamu tumetofautiana sana!