Niliona nikasema daaah kama mashaka ya mdau ni kweli basi nitakaa nalo moyoni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huo ni ubaguzi kwa sie wenye sura za baba zetuHalina ubishi hilo...mwisho wa mwaka huu nitaweka top 10 ya warembo hapa kwa uzi. Nakutakua na zawadi nono kwa top 3Pesa cash 100k
Pia zawadi kama
Savanna/heinken/windhoek/wine/whiskey
Proudly sponsored na wanaume wote kwenye huu uzi tukiongozwa na Mshana Jr
Aise hapo kwenye vinywaji hauwezi kutufikiria na wengine ambao hatutakuwepo kwenye hiyo top 3??
Jamani hawezi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umuonea.. kile kizungu chake unaweza nenepa kwa kusifiwa tu[emoji7][emoji3526][emoji847][emoji847]
Wewe hushindwiii kituu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwanini udhani kuwa ni ya wifi yangu?? Ni yangu hiyo dada!!
Huo ni ubaguzi kwa sie wenye sura za baba zetu
Mrembo wangu [emoji7][emoji8][emoji8][emoji8]
Malizia tuwekee full jamani [emoji7][emoji7][emoji7]
Macho yangu umeyasafisha walahi
Wewe unasemea vinywaji, top ten unaijua vizuri hebuAise hapo kwenye vinywaji hauwezi kutufikiria na wengine ambao hatutakuwepo kwenye hiyo top 3??
why me and not someone else?? anyway thank you
Umeanza ubaguzi!Hahaha vigezo na masharti kuzingatiwa...
Mshindi anaweza kushinda hata kwa kauli zake nzuri tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo tunasema ukisimama nchale ukikimbia nchalee[emoji23][emoji23]
Hapana mimi sina mashaka kabisa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]na wewe una mashaka?? Kiruuu!!
Aisee. Acha tu nicomment. Japo hata sijui nilichocomment.
Lizarazu Ni noma sana[emoji23][emoji23][emoji23].Kama ile siku alivyojisifia yeye kwa kizungu
Anakuchukulia poa eeh?[emoji23][emoji23]
Wewe ni mzuri sana
Mimi Tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na wewe watakuambiwa wana mashaka na jinsia yako
Mrembo wangu mbona uko kazuri Sana jamani[emoji7][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]lakini huo ni mdomo tu ningeonesha sura yote mbona mngekimbia humu
Kwa ule mdomo,meno na rangi unakosekana vipi sasa?