Samahani kwa kulikosea heshima jina Mary Jane iwepo kuamsha kwanza handas then sehemu ambazo Mimi nitakesha mpaka nizione daladala zikikatisha asbh ndio nitaamini kumekucha
π€£π€£π€£ Bills river will suit you.
Pillars naona ni mpaka sita flani or nane
Kipong pia mpaka mahakama itafunguliwa
Mopao mpaka hiace za moshono zitaamka