ππ Jirani hakuna mahala nisipo ingia.. ndio nguvu ya kuwa kama kinyonga... kama wao ila sipo na wao πππ
Hio programu imekataa kabisa kufanya installation kichwani mwangu..
πππ nipo kila mahara jirani.. mda huu waweza nisikia nipo dar baada ya dk kadhaa ukaniona MorogoroMita 800 kutoka nyumbani jirani...
Usiku mnene panawika hivo yaani...
Basi huwa tunapishana, sikuonagi kila nnapohudhuria hapo...
Kama amekula vizuri usiku hawezi amka ..Aahahahahaaa looh umenifikirisha halafu nikajikuta nacheka mwenyewe kwanguvu ya chinichini landilodi asinisikie....ππππ.
Niamini tuu.
πππ nipo kila mahara jirani.. mda huu waweza nisikia nipo dar baada ya dk kadhaa ukaniona Morogoro
Kama amekula vizuri usiku hawezi amka ..
Ama hujapika leo
Lips flani zinafaa sana kung'atana.
Lips flani zinafaa sana kung'atana.
Hata kama ila si zimo bado, au zishaisha?Ahahaha za enzi hizooo, siku hizi zimeota kunyanzi..π .
Hata kama ila si zimo bado, au zishaisha?
Odometer inasoma kama 100km, ni tofauti na nilivyodhani, hio avatar huwa inatutisha...View attachment 2161155
Maporini huko kuchimba dawa....πππππ©βπ¦―π©βπ¦―π©βπ¦―π©βπ¦―
Hii picha nimeidaunilodi
Odometer inasoma kama 100km, ni tofauti na nilivyodhani, hio avatar huwa inatutisha...
Una lips π
Hii picha nimeidaunilodi
NalΔ«ho nkoyi
NalΔ«ho nkoyi
Wabeja gete [emoji1545]
Itakua labda ulifanya plastic surgery..Aahahahahaa asante, ila usihadaike na editing ya picha rafiki....
Nshapokea kiinua mgongo changu....
Avatar ndo uhalisia haswaaa, huyo ni mimi (avatar).
Linganisha kabla sijafuta..
Itakua labda ulifanya plastic surgery..
Hata ukifuta hamna kitu nshadsownload zote..
Nimeona moja...Shukrani kwa kuitika rokoo, natumai umewona...[emoji28].