zoezi tramuuu sanaaa jirani.. π
Kumbe we baaado mtoto mzuri kabisa.
π₯π₯π₯π₯π₯ sanaaa mie hoi na midomo
Nakaziaπ₯π₯π₯π₯π₯ sanaaa mie hoi na midomo
Kumbe we baaado mtoto mzuri kabisa.
Jirani.. mie kama kinyonga.. nabadiri tu langi kutegemeana na mahala napo katiza πππKumbe jirani unadisiplini eeehhh.... πππ
Naheshimu sana watu wenye consistence in their life ....
Hamna kamera ya zamani inatoa details hivyo, halafu weeeAsante ila ni zamani hiyo....
Jirani.. mie kama kinyonga.. nabadiri tu langi kutegemeana na mahala napo katiza πππ
Huu mguu unazungumza mengi sana...
πππ Practise jirani ukiweza hiyo utafurahia mwenyeweItabidi nikuige mie kuna muda huwa nafeliii.....
Hamna kamera ya zamani inatoa details hivyo, halafu weee
Huu mguu unazungumza mengi sana...
πππ wapi hiyo jirani
πππ Practise jirani ukiweza hiyo utafurahia mwenyewe
πππ wapi hiyo jirani
consistency ni kila kitu kwenye maisha jirani πNtafanya jirani....
Ntaongeza adabu binafsi zaidi ili nifikie lengo la konsistensi.. π.
ππ Jirani hakuna mahala nisipo ingia.. ndio nguvu ya kuwa kama kinyonga... kama wao ila sipo na wao πππAhahahahaa jirani unapafahamu, maeneo karibu na nyumbani....
Ila wewe huwa huendi hapo....π
Nimechelewa tu kupost....πMbona umechelewa kula[emoji848]
consistency ni kila kitu kwenye maisha jirani π
Hio programu imekataa kabisa kufanya installation kichwani mwangu..Aahahahahaa teknolojia jamaniii
Hiyo picha imepigwa upya halafu ikasafishwa na teknolojia za sasa...
Ila ya kitambo kidogoo...π .