Selfika na JF: Snap it. Show it

Huwa una kucha nzuri hata bila kufuga
Wengine bila kufuga zinakuwa kama maganda ya tangawizi
Me za miguuni ndio naonaga nzuri zikirefuka hata kidogo.
Changamoto kidole gumba mweee
Sijui ndiyo Mungu hakupi vyote πŸ˜’

Za mikono nikifuga zikiwa tu kiasi zinapendeza, ila hivi sizifurahii hata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…