Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani nilihangaika kukuna kichwa nikapatia jibu na mwanzo akakubali kabisa kuwa nilipata ila nilivyomuambia enhe mzigo vipi akabadili gia angani eti nimekosa ila jana akasema atanitumia leo sasa ndiyo niko nasubiri hapa[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeongea kwa uchungu mnoo jamani
 
Pole dear
Akikutumia usinisahau jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…