Huyo sio mtoto wa 2nd yr? Ni mtu mzima na mtoto wa kishua, yu knou iti? Usidhan ukimdanganya na 30 ya saloon ndo atakuelewa lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niachie Trinsley anenda nae taratribu
Wewe tena[emoji28]Mie kwangu ni burudaan toshaaa, afu mie unizoee tyuuh yaan.
Ndo nipo hivi hivi, mama mwenyewe kashindwa, sasa nikikaa nae kuzungmza utasema rafk angu sio mama. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Afu watu wana enjoy kinoma kukaa na mie, siboi sikeri. Full aman na furaha yaan. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Well napenda hivyo ulivyo so sweet , affectionate na charming too .Mie kwangu ni burudaan toshaaa, afu mie unizoee tyuuh yaan.
Ndo nipo hivi hivi, mama mwenyewe kashindwa, sasa nikikaa nae kuzungmza utasema rafk angu sio mama. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Afu watu wana enjoy kinoma kukaa na mie, siboi sikeri. Full aman na furaha yaan. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ahaaa naanzaje kudanganya wewe?tulia kwanzaHuyo sio mtoto wa 2nd yr? Ni mtu mzima na mtoto wa kishua, yu knou iti? Usidhan ukimdanganya na 30 ya saloon ndo atakuelewa lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Plz nitext dmWell napenda hivyo ulivyo so sweet , affectionate na charming too .
You're not boring at all, I love your personality coca
Tanteeeeeeh kipenziiii, maisha mafupi haya acha tuenjoy tyuuh.Well napenda hivyo ulivyo so sweet , affectionate na charming too .
You're not boring at all, I love your personality coca
Shosti mie sio wa kishua [emoji28][emoji28]Huyo sio mtoto wa 2nd yr? Ni mtu mzima na mtoto wa kishua, yu knou iti? Usidhan ukimdanganya na 30 ya saloon ndo atakuelewa lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitulie nn wee, nakuona kabisa unakwama hapa kuopoa mtoto mkaree huyu, lazima nikusaidia bhana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ahaaa naanzaje kudanganya wewe?tulia kwanza
Ooh yeah ..Tanteeeeeeh kipenziiii, maisha mafupi haya acha tuenjoy tyuuh.
Aisee bora ungekua umelalaNitulie nn wee, nakuona kabisa unakwama hapa kuopoa mtoto mkaree huyu, lazima nikusaidia bhana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aku text DM nn wee, yaan hata kuanza wee umeshindwa? Kweli wee n loser khaaaaahPlz nitext dm
No, I'm afraid I can't do that for you...Plz nitext dm
Wa kishua bhana wee shost angu, [emoji7][emoji7][emoji7]Shosti mie sio wa kishua [emoji28][emoji28]
Hahahha nimekulia uswahilini shogaWa kishua bhana wee shost angu, [emoji7][emoji7][emoji7]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nipe vocha nilale bas.Aisee bora ungekua umelala
Its hard to take BUT its okNo, I'm afraid I can't do that for you...
Unaniangusha mkuu wangu. Ndo nini sasa hichi? Kuna kushiba kweli hapo? Afadhali hata ya urojo [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nipe vocha nilale bas.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Daah mzee wa JD kakosa chombo doh.No, I'm afraid I can't do that for you...
Kaa kwa kutulia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aku text DM nn wee, yaan hata kuanza wee umeshindwa? Kweli wee n loser khaaaaah