Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
πππ road trip tamu sana.. hasa afisa kama wewe mwendo mdogo mdogo.. tukikuta mahala wanachoma mbuzi tunapaki. kula mbuzi vi bia viwili vinne hizi.. tunaendelea na safariβΉοΈ
Kwani road trips siku hizi zinawekwa sukari!
askari wa Jamii.. full kaki ππ[emoji1787][emoji1787]
Sio woteHahahaha you're hilarious [emoji28]..
Upo serious , unataka kwa theory au .
Hahaha sijui mie π πDuh
Inaelekea una maujuzi na hiyo makitu
[emoji1787][emoji1787]
Hatari sana Abihud[emoji1787][emoji1787]Ila tone yake inachekesha [emoji1787]
Na ile misuti yake
Kama Wige anaenda ofisi za watu
Mie hata sijapanda pia basi la njano πSio wote
Tulipanda gari za njano
[emoji1787][emoji1787]
πππ kujifunza kiss muhimu sanaHahaha sijui mie π π
Mimi mshamba mmoja tu hapa , nilikuwa nampa ushauri 9.8ms squared
Punguza hizoMie hata sijapanda pia basi la njano [emoji28]
Ooh kweli Uncle[emoji3][emoji3][emoji3] kujifunza kiss muhimu sana
watu wana phd yaani π€ π€ π€Ooh kweli Uncle
Nayo ni skill muhimu [emoji28]
Inatokea tu umeandika lugha hiyo.Punguza hizo
ze [emoji1787]
Hao wapo next level kwa kweliwatu wana phd yaani [emoji1783][emoji1783][emoji1783]
Koh Koh Koh[emoji3][emoji3][emoji3] kujifunza kiss muhimu sana
vipi.. offer yako hadi ita expire πππkama baba pastor yupo busy nitakusindikiza π€ π€ π€Koh Koh Koh
Namalizia Sabato boss, then fanya mambovipi.. offer yako hadi ita expire πππ
Mnachomtafuta Mtumishi wa MunguYou are the Lord of Lords
Everyone should kneel down
Every tongue should admit about you
People should realize that you are The Lord of Lords πΆ πΌ
Imbeni hapo kwa sauti ya Abiud Misholi mtu mbad π€£π€£π€£πββοΈπββοΈ
Heaven Sent Wigelekelo cocastic