Binamu huu ulimwengu unavyoenda; hakuna color isiyo-match. Mtu mmoja tu anathubutu kuvaa; haooo tumeshaiga. Imagine kuchanganya red na pink; zamani ungechekwa ila sasa hivi aaah unatokelezea hatari