Bora yako wee usiyoijua ila ya aman, sie wengine sasa mbna JF itasimama kwa muda woiiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna gharama yake kuomba omba picha.
Nishasakiziwa Hadi misala nisiyoijua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
Ukiunganisha na wangu umekwishaπEmu thibitisha π
Asante [emoji120][emoji3590]Guu linahamasisha... umedamshi ki nouma nouma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiunganisha na wangu umekwisha[emoji23]
Hili halina ubishi.
Mguu Gani sasa nilionao utaunga hapo??
Kwanza tege limechanua imekaa kama V,hata kuungisha haiwezekani.
Unashangaa tu umenuniwa na mtu.Bora yako wee usiyoijua ila ya aman, sie wengine sasa mbna JF itasimama kwa muda woiiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kibubu unacho bhanaNitafika tena kwa hakika
Katika mikoa yote niliyofika Mwanza nilipaelewa sana. Na nilikula bata la hatareee [emoji1787][emoji1787]
Ila huu mwaka sijui, maana mpaka dk hii sina hata kibubu cha vacation.
Eti anaunganisha mguu wake na fimbo .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kama mna matumbo manne vile.. mgawanyo unakuwa mkali.. minyoo ile na wewe ule.. lazima uteseke sanaaa π€ π€ .. tusio na minyoo wala hatuna hizo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wacha wee bas sawa, sie wenye minyooo tunasema weuweeeeeeeh.
Halijalifikia lako lile guu la kimataifa.Guu linahamasisha... umedamshi ki nouma nouma
Pole aiseeWakati nimekuja sikua na access ya JF, nlipigwa ban 3months.
Nipo mie uwezi usijaliNitafika tena kwa hakika
Katika mikoa yote niliyofika Mwanza nilipaelewa sana. Na nilikula bata la hatareee [emoji1787][emoji1787]
Ila huu mwaka sijui, maana mpaka dk hii sina hata kibubu cha vacation.
Niombe mimi tuoneUnashangaa tu umenuniwa na mtu.
Kumbe kuna mtu amekusakizia msala wa picha huko hata habari Hunaππ
Na mimi kuomba picha siachi jamani hadi Masihi arudi.
Ewaa boss, nifanyie jambo. Leo weekend nikauze sexy tege languπ€£π€£π€£Heaven Sent kuna vizawadi vyako hapaView attachment 2156348
ππππ Sio mchoyo kwahiyo uje ule mpaka ukombe sufuria π[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwenyeji unaniogopesha, unataka nisiwe mgeni wako mie mtu wa kula sana. Uwiiiiih
Kwani hii circle ilienda mpaka wapi? π€£π€£Unashangaa tu umenuniwa na mtu.
Kumbe kuna mtu amekusakizia msala wa picha huko hata habari Hunaππ
Na mimi kuomba picha siachi jamani hadi Masihi arudi.
Mbona huo mkanda kama unakukaba πAnne umeanza!! Yani mnaniua mbavu huku nyie uwii![emoji1787][emoji1787]
View attachment 2156357
ππππππππ ila wewe una mambo.Ukiunganisha na wangu umekwishaπ
Hili halina ubishi.
Mguu Gani sasa nilionao utaunga hapo??
Kwanza tege limechanua imekaa kama V,hata kuungisha haiwezekani.
Yanii na unanikaba kweli kweliMbona huo mkanda kama unakukaba [emoji23]
Tulione πΉEwaa boss, nifanyie jambo. Leo weekend nikauze sexy tege languπ€£π€£π€£