Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
Sambusa ni tamuu.. hadi nilijiuma kidole ππsema wapi zikufateMie sambusa tu jamani π€€ π€€ π€€
Hii ni Akemi Revolving Restaurant pale post, Mtaa wa Ohio, Golden Jubilee tower floor ya 21.Ni wapi hii?
Kumekuchaaπ π πEeeeeeeeeh uwiiiiiiih tobaaaaaaaah wee.
Hebu nikae kmya mie, mweeeeeh sio kwa lips hizo.
Chozi la simbaπ
Hii ni Akemi Revolving Restaurant pale post, Mtaa wa Ohio, Golden Jubilee tower floor ya 21.
Mideko ka like picha ya page ya 2296 huko zamani za kale π, post zingine tulikua watoto wenye tabia za Hovyo sasa hivi tumekua kidogo [emoji16]
View attachment 2154135
Siku hizi wenye hela ni wanao tumia soft method.. hizi zetu huku mashimo.. hataru sana.. invest in technology ndani ya mwaka mmoja wewe sio mtu wa kawaidaaaYule matron wao mwenye lafudhi ya kikenya yupo? Hapo watu unawakuta wamekaa kumbe wanaingia mamilioni kwa kucheza na laptop zao tu [emoji4]
Sijui Boss , mi naendaga tu kuosha machoπ, waanaingiza mamilioni ni wale wakulungwa wenye skills zao ie (PRICE ACTION) ππ€£, support & resistance, candle stick patterns etc.Yule matron wao mwenye lafudhi ya kikenya yupo? Hapo watu unawakuta wamekaa kumbe wanaingia mamilioni kwa kucheza na laptop zao tu [emoji4]
[emoji3][emoji3] gari inatosha kupita hata kwa watembea miguu
Pale pale Blue & White House πππSambusa ni tamuu.. hadi nilijiuma kidole ππsema wapi zikufate
asahivi zinafika ππPale pale Blue & White House πππ