Selfika na JF: Snap it. Show it

Thanks bro...[emoji1420][emoji1420][emoji1420]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] kumbe gym inaleta shepu weeeehhh!!
Ndiyo[emoji3].
Hapa naendelea kufukia ugali,nikichanganya na gym basi angalau nifike roho yako boss ledi[emoji3059][emoji3059]

Tupia tupia picha [emoji91][emoji91][emoji91]
 
Asante Boss Lady. Huko niendako hata nione ya aina gani yakibingirishwa wala sitatishika wala kuogopa majaribu. Nimeshayashinda tayari!

Wewe ndiyo Boss Lady original ukisikia mwingine fekiiiiii [emoji91][emoji91][emoji91]
hahaha!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂asanteni kwa kunijaza!
 
Weee Anne Sitaki mie.... bosiii wangu mkubwa mkubwa anitosha miee akhaaaa!!![emoji12][emoji12][emoji12][emoji8][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji2216][emoji2216][emoji2216][emoji2216][emoji2216][emoji2216][emoji2216]
Dah unamtolea mbali bro[emoji23]

Naye ni mtu na kipande kama wewe tu,Tena atakuwa anakuchekesha 24 hrs..
Unaonaga navyokuchekesha unacheka ,yeye utacheka mara 4 zaidi yangu[emoji3059]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…