Selfika na JF: Snap it. Show it

Roho hakai kwenye mavazi... maaana hata wewe mavazi unayo vaa wasabato watakuambia huna Rohoo..
.. acha mtoto apunge hewa
Kuna uhusiano katika ya wokovu na mavazi.
Kama Usingekuwepo basi watu wangeenda tu kanisani uchi ,au basi wangetuma roho ziende huko wao wabaki nyumbani.

Tuone mavazi ya hao wasabato.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…