Sina vyote hivyo [emoji28]Kwan huna lipstick? Yaan unatakiwa uwe na lipstick, lip pam, naksh lips, weuweeeeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
WeweWee ndo yeye? Mbna unamsemea sana? Ndo maan nimemuita yeye aje kujibu hapa, sitaki mie uongo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Sina vyote hivyo [emoji28]
Eeh sina yaani hata make up pia [emoji28][emoji28]
Nina kawanja tu maana napenda kupaka kwenye macho .
Ulisomea marketing mdogo angu?Ukitaka kusuka muite huyu fundi wangu.
Bei poa.
Ndiye aliyenifanya nianze kusuka yebo..
Haumini,yaani ujue haumizi...
Nywele yake sasa anasuka nzuuuurii
Hahahahaaaa..Kweli wanaume tupo tofauti sana na wanawake, yaani humu wanawake wanasifiana balaaa, mara lips tamu daaah.
marketing officer Saint Anne !!!!!Ulisomea marketing mdogo angu?
Yaani huo wanja wa kwenye macho; ni hadi nibembelezwe na soda ndiyo nikae nitulie nipakwe. Hivihivi mweeehSina vyote hivyo [emoji28]
Eeh sina yaani hata make up pia [emoji28][emoji28]
Nina kawanja tu maana napenda kupaka kwenye macho .
Yaani mimi nikienda kwenye sherehe ndo napaka make up otherwise sipaki kitu kabisa .Nahisi bora hata wewe .Mie ndio kabisaaa nishashindwaga !
..,..Hiyo apa dearieView attachment 2149925
Ana uwezo wa kusifia makande yakaonekana pilau.
Mimi pia mpaka kuwe na Event !Yaani mimi nikienda kwenye sherehe ndo napaka make up otherwise sipaki kitu kabisa .
Vipi ukienda kwenye mtoko je huwa unapaka kitu ?View attachment 2149949
[emoji1787][emoji1787]Ana uwezo wa kusifia makande yakaonekana pilau.
Yanii usiombe kuingia kwenye anga zake!!! zitasifiwa hadi kuku zakoπ€£π€£π€£Ana uwezo wa kusifia makande yakaonekana pilau.
SDAYaani mimi nikienda kwenye sherehe ndo napaka make up otherwise sipaki kitu kabisa .
Vipi ukienda kwenye mtoko je huwa unapaka kitu ?View attachment 2149949
πππππ€£π€£π€£π€£π€£πππKweli wanaume tupo tofauti sana na wanawake, yaani humu wanawake wanasifiana balaaa, mara lips tamu daaah.
Hahaha jicho linacheza tu lenyewe mara unashangaa mchozi kwa mbali ..unamwambia dada basi niache .Yaani huo wanja wa kwenye macho; ni hadi nibembelezwe na soda ndiyo nikae nitulie nipakwe. Hivihivi mweeeh
Yaani huwa ni hekaheka jamani; ngoja niwe napakwa frequently nizoeeHahaha jicho linacheza tu lenyewe mara unashangaa mchozi kwa mbali ..unamwambia dada basi niache .
Mpambe tu yuleYanii usiombe kuingia kwenye anga zake!!! zitasifiwa hadi kuku zakoπ€£π€£π€£
Ooh sawaMimi pia mpaka kuwe na Event !