Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Huku kwetu wengi sura personal aiseeUkimbaombao siyo sifa ya kudumu. Nilishakwambia zaa kwanza vitoto viwili hivi halafu nitafute tuone kama utakuwa bado kimbaombao...
La sura kwa kweli silijui kwa sababu mnazifichaga ila kwa kuangalia tu through emojis sijaona tatizo...
Mmebarikiwa sana nyie yaani!
Date shake.....?Date shake made by mom [emoji173][emoji173]View attachment 2148720
Baba Mchungaji tangu apigwe na kitu kizito siku ile kwenye kahawa Mlimani City hajawa sawa. Bado anahitaji maombi [emoji16][emoji16][emoji16]
Ubaya sura zenu hatuzijui...[emoji51][emoji51][emoji51]Huku kwetu wengi sura personal aisee
Hujaharibu kitu. Mkumbuke tu baba mchungaji kwenye maombi yako [emoji16]Hizi habari sinazo kabisa
Kumbe nataka kuharibu mambo
Hahaaaaaa, kwanza nammuduMkuu, kiprotokali kwenye haya matani huwa hatutaji majina. Shauri yako ikitokea moto ukakuwakia mi simooo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kipara ngotoPep ni nani?
[emoji1787][emoji1787]Baba Mchungaji tangu apigwe na kitu kizito siku ile kwenye kahawa Mlimani City hajawa sawa. Bado anahitaji maombi [emoji16][emoji16][emoji16]
Mzijue tu kwa imaniUbaya sura zenu hatuzijui...[emoji51][emoji51][emoji51]
Fanya utaratibuMzijue tu kwa imani
Za kawaida tu, zinavumilika. Usijali Sana sisi tushazikubali hebu tupia tafadhari your eminence HSHuku kwetu wengi sura personal aisee
Sema uzuri zinaangalika,Huku kwetu wengi sura personal aisee
Umefuraaahi[emoji1787][emoji1787]
Kipara ngoto si ni haka kadogo kangu kanywa kahawa au!Kipara ngoto
Simba ashatuwakilisha vyema
Unaweka voucher ya sh ngapi?Tuma namba nikupunguzie 37 GB za voda πππView attachment 2149008
Mama JUnaweka voucher ya sh ngapi?
Voda wezi basi tu, mimi vocha ya 30,000 week 2 tu .
Hapa sahivi nishaanza kupumulia mpira [emoji41]
Nipunguzie tu gb 3 , nikiongeza na hizi huku natoboa march [emoji2224][emoji2224]