Kafanyaje?
Saint Anne ni mbishi sijapata ona lohAtahitaji ushahidi hivi unasahau mdogo wako alivyo mbishi?
Muulize Chakorii
Kafanyaje?
ππππ wasengerema wengi sana hasa huko highway hawachelewi kukuchomekea uingie kingi. alafu wakucheke na wakupe pole dawa yawa wabakie wanasoma plate nunber tu πππ sikaagi karibu nao ni mwendo wa 180-220Halafu nataka niiache hii tabia sio nzuri....
Hako katusi kamenizoea mdomoni....
Huwa nakaachia sana nikiwa barabarani safari ndefu nimepata upenyo wa ku overtake nshapiga mahesabu yangu halafu in-between kamatokea kamsengerema kamoja, pedeli zake nguvu au pushing yake iko chini anajipenyeza mbele yangu......
Yaani huwa kana nitoka maana anakuwa kanisababisha nikanyage breki bila mahesabu na nirudi kushoto bila kufikia lengo.
Ila huwa nahangaika hadi namuacha nyuma kisha motooooo...ππ.
Yaani sijui ntaweza kukaacha maana kamechangamkaaa zaidi ya sengerema...ππ
Pole kwakweli ππAlituletea vikolombwezo halafu akapotea.....π
Ila tulielewana baadae hadi akaondoka na tipu nene π.
ππππ wasengerema wengi sana hasa huko highway hawachelewi kukuchomekea uingie kingi. alafu wakucheke na wakupe pole dawa yawa wabakie wanasoma plate nunber tu πππ sikaagi karibu nao ni mwendo wa 180-220
Ndani ya bajaji.. mziki uliofungwa humu kama disco ππππ
Ndani ya bajaji.. mziki uliofungwa humu kama disco ππππView attachment 2148953
Jirani inabidi tupige road trip moja ya kibabe... niliunge tela tukaachane pale kama unaenda kipalapala mie narudi chini kidogo ππππ huku tabora boy nanyanyuaaa paka igombe kuogeleaTuko njia moja...
One two one two....
Kuna mmoja na mkonge wake alihangaika sana anipite na nikawa namuachia sababu huwa sifanyi ligi ila sasa unaweza jikuta mbele kuna msemi trela nafasi ya ku overtake ipo unamsubiria aanze maana yuko mbele yangu haendi nikichomoza tuu nae huyoo...
Alinifanyia hivyo kama mara tatu hiviii
Daaadeekiiii, nilipomuacha hakunikuta hadi nafika kwa Kijazi Intersection π .
Labda kama aliishia Ruvu...
Natembeaga nazo ππ naogopa kutembea na bangii askari huwa kama wanadawa
My dream car. Nawe usije ukasema ni mkokoteni tu kama bilionea mmoja jana alipomuita mnyama Jaguar eti mkokoteni tu [emoji15][emoji51][emoji51][emoji2099][emoji2099]Short break - isimani nyang'oroView attachment 2148812
πππ mzee nilifuta kauli ππMy dream car. Nawe usije ukasema ni mkokoteni tu kama bilionea mmoja jana alipomuita mnyama Jaguar eti mkokoteni tu [emoji15][emoji51][emoji51][emoji2099][emoji2099]
Nothing serious...not to that extent [emoji1545][emoji19][emoji19][emoji19] mzee nilifuta kauli [emoji17][emoji17]
Najua mkuu wangu chirt chart tu ππNothing serious...not to that extent [emoji1545]
[emoji1787][emoji1666]Maisha ni SafariView attachment 2148969