Hasa wewe tangu juzi umenipa zoezi la kutosha nikifika hapa hola.......
Endelea kuwepo hapa nitashusha mzigo wa maana live bila chenga ile mida ya wanga
Aisee huu uzi kiboko. Na uzee huu leo kidogo nivunjike nyonga. Boss Lady akisema tu video clip loading mi huyooo mbio. Mara paap anko wako naye huyu hapa yuko fulu fosi. Kazi sana yaani