Selfika na JF: Snap it. Show it

Na baraka zako zimechangia kwa kiasi kikubwa sana.
Mungu azidi kukuweka karibu yetu daima [emoji120]
Sisi ni ndugu, ndugu yangu. Tuombeni tu uzima Mungu Atulinde tuje angalau tuone hawa wanetu nao wakipiga hatua za kimaisha baada ya kutupokea kijiti ili nao waanzishe yao; na kuendeleze baadhi ya tuliyoasisi katika maisha yao. Sote tubarikiwe sana [emoji120][emoji2536][emoji120][emoji2536][emoji120][emoji2536]
 
Ahsante shemeji.
Mungu ni mwema, yaliyo ya heri yakawe upande wetu daima.
 
Uwe unapitapita kwa Anko, kuna siku utanibahatisha[emoji1787][emoji57][emoji57]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…