Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Muelezee[emoji1787]Usiseme hivyo kiongozi. Ukija kukamata mimba unaweza kujikuta unakuwa Yutong mpaka unajishangaa [emoji16]
Nitajitahidi nile kidogoMuelezee[emoji1787]
Tena atatamani
Kunusa kikwapa
Tena atafumuka
Kama yutong
Yenye terious
Mkuu...Asante sana Kwa ushauri mkurugenzi[emoji3]
Si uliyaanzisha wewe haya mtaalamMkuu...
Kiongozi...
Chifu....
Bosi....
Mkurugenzi....
Mtakatifu bana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Twende nayo tu hakuna shida bosi wangu. Huo mjadala tulishaumaliza. Hakuna shida [emoji16]Si uliyaanzisha wewe haya mtaalam
Ndiyo mkuuTwende nayo tu hakuna shida bosi wangu. Huo mjadala tulishaumaliza. Hakuna shida [emoji16]
Prayer mountain chief?
Mbona wewe hujaenda kulala?
Nimetoka kumlaza baby mkubwa, hapa napambana na baby wadogo 🤣🤣🤣🤣Mbona wewe hujaenda kulala?
Baba Mchungaji yuko wapi bado uko mitandaoni nyakati hizi? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Baba yao yuko wapi? Au anajiandaa na huduma ya kesho/Jumapili? Mngegawana. Huyu anamlaza huyu na mwingine anamlaza yule....Nimetoka kumlaza baby mkubwa, hapa napambana na baby wadogo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna mtu namsubiri[emoji23]
Yeah yeye anahitajika kurauka baadaye; nawahandle tu hawa vizuriBaba yao yuko wapi? Au anajiandaa na huduma ya kesho/Jumapili? Mngegawana. Huyu anamlaza huyu na mwingine anamlaza yule....
Tunaomba uselfike kwanza mkuuHuu uzi umegeuka wa usiku wa manane [emoji5]..
Nawasalimu na kuwatakia usiku mwema in advance
Nishaondoka huko kiongozi,Prayer mountain chief?
Pray for me too [emoji1545][emoji1545]
Natania[emoji23]
Nakukubali sana mkurugenzi..Nishaondoka huko kiongozi,
Nikipata chance tena ya kwenda nitakuombea boss wangu.