Kamji kakiwaki sana, sema nakaa kule kilimani ndio kunanipa burdan.. ukiamka asubuhi lile wingu na ukungu na milio ya ndege na manyani ile green.. nakuwa kama nipo mbinguni vile.. tunapambani makombe na waturuki 😀😀😀
Heaven Sent
I love you, Lord
For your mercy never fails me
All my days, I’ve been held in your hands
From the moment that I wake up
Till I lay my head
I will sing of the goodness of God