Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,213
- 29,382
Kumbe picha inaweza kukukosesha na kukupatia mchumba eeh[emoji848][emoji848]Ile ndo ilkua bombaaaah, ilinifanya na mie nikimbilie ktk katuni, na nashkuru nikaopoa km mawazo yangu yalivyotaka,
Itafute tena ile DP [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Sijashangaa hata ..ni kawaida yangu kusahauliwa,sijui Nina gundu gani dadekiHalafu nilikusahau!!
bomba sana hii!!Toa hiyo weka hiiView attachment 2143289
Basi mwambie aweke hiiHaimpendezi hata [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Haitaki,nakupa wewe.Upumzishe huo mzigo wa kuvunja Chaga angalau wiki hii moja Tu my dearIko
bomba sana hii!!
Nimechelewa, hebu nipe ka screenshotWeuweeeeeeeeeeeeeeeeh. Shouzzzzz hii ya leoo umeuaaaaaaaaaah,
Tobaaaaaaaah sio kwa [emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95] hili, awwwwwwwwwwwh.
Mweeeeeh hii kiboko sasa lol [emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Hahahaaa sijui hata nimesahau vipi!!Sijashangaa hata ..ni kawaida yangu kusahauliwa,sijui Nina gundu gani dadeki
Basi mwambie aweke hii
Si anasema anavaa miwani aone vizuri? Kwa macho haya Hana haja
Cc😡Depal View attachment 2143296
Unafeli pakubwa sana mrembo wanguHahahaaa sijui hata nimesahau vipi!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aingie chimbo aitafute[emoji23], hizo nyingine hatuzitakiiiii
Tena kuna chimbo hilo za handsome boys zimejaa kibao, ntakuletea usjar, ila vocha, maana inatakiwa bundle [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe picha inaweza kukukosesha na kukupatia mchumba eeh[emoji848][emoji848]
Naomba ukae kikao na Depal mnitafutie na Mimi picha Kali ya handsome boy niibandike ili na Mimi nianze kuwavua samaki[emoji39]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwiiiiiiiijBasi mwambie aweke hii
Si anasema anavaa miwani aone vizuri? Kwa macho haya Hana haja
Cc😡Depal View attachment 2143296
Badae nakuahidi selfiii hadi sura!...mida yetu usikose.....Unafeli pakubwa sana mrembo wangu
Umeishiwa kabisaaaah poleeee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndiyo umenichoka hivoo
Asante Kwa kuniheshimisha🤣🤣🤣Ndiyo umenichoka hivoo
Unajua nini..umeshanifanya kazi iwe ngumu,kila muda nitakuwa nachungulia huu Uzi mithili ya mtu anayesubiri meseji ya 'babe nimeshapanda bodaboda,nishuke kituo gani?' sasa old usinitag!!Badae nakuahidi selfiii hadi sura!...mida yetu usikose.....
Na kirungu juu🤣Tena kuna chimbo hilo za handsome boys zimejaa kibao, ntakuletea usjar, ila vocha, maana inatakiwa bundle [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂 Wee tulia badae... usiku kuanzia saa 22:00 huko!!Unajua nini..umeshanifanya kazi iwe ngumu,kila muda nitakuwa nachungulia huu Uzi mithili ya mtu anayesubiri meseji ya 'babe nimeshapanda bodaboda,nishuke kituo gani?' sasa old usinitag!!
Unasaka nini mdogo angu?Heaven Sent mamaaaa nipo kwenye msakoView attachment 2143177