Selfika na JF: Snap it. Show it

Hebu soma ufaulu we katoto
 
Mimi mwaka wa mwisho ulivyofika,nilisoma kumaliza
Wakati naanza nilikuwa na moto na mbwembwe na target kibao
mambo yalivyokuwa si mambo nikawa natafuta nimalize salama.
wazazi hawa wakae kwa kutulia, mtu mwenyew hapa nshachoka kukimbizana na madesa woiiiiiiih.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…