Acha Kabisa ma mchungaji.. si unajua venye App inavozingua mpaka zisome% sasa click click click inasoma 0% doh ndio kukimbilia browser nilichokutana nacho nikabaki tu

Kati ya miji ambayo sijawahi kufika na siijui kabisa ni Moro. Ila kwa vile sasa nimejua kuwa huduma ya Mama Mchungaji iko Moro basi nitaenda kuokokea huko aisee!
Kati ya miji ambayo sijawahi kufika na siijui kabisa ni Moro. Ila kwa vile sasa nimejua kuwa huduma ya Mama Mchungaji iko huko na siyo Uyole basi nitaenda kuokokea huko aisee!