Selfika na JF: Snap it. Show it

geuzia kamera upande huu nilikosimama
Si nikalogin kwa jf App ikazingua kuload picha Mara paaa naona ma mtumishi katupia kitu afu loading error weee ile kuwahi kuingia kutumia browser nakutana selfii la mandhari uuwiii![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji134][emoji134][emoji134]!! Nikajua kitu cha mshono mattatta kama kawaida yake!!
 
Nimecheka hadi nimepaliwa. Usiombe ufungue picha afu kitu loading error
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… hakuna maumivu makali kama yakukosa picha hasa ya mama mchungaji Heaven Sent na mbaya zaidi ukutane na sifa wanazosifia wanaselfika sasaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Tumshawishi atupie basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…