Nidanganye kwamba hiyo strategy itafanya kazi iwe inajifanya yenyewe na faida iko guaranteed nijichanganye fasta πππKuna strategy hadi $ 5000 ukiunguza kwa kufuta strategy yangu nakuoa $ 2000.. ila kwanza tutajirishisha kabla ya kuwa refunded
Shukrani Mkuu.Mkono umekaa mahala pake
hii uhakika kabisa Lizzy una double tu mpunga hata ukipata lose ni ukizingatia haiumi.. ila usipo zingatia maumivu yapo pale paleNidanganye kwamba hiyo strategy itafanya kazi iwe inajifanya yenyewe na faida iko guaranteed nijichanganye fasta πππ
Hapana Mkuu. Itakuwa Umepafananisha.Sinza hii au
kweli panataka kufanana na sehemu safi sana kwa zoezi.. enzi zangu napiga gym nilikuwa nimejaa kinoma zaidi ya hapo. ππ.. kuna watu watakuja kupinga tuHapana Mkuu. Itakuwa Umepafananisha.
Kama nawaona wakina Heaven Sent na mwenzake Saint Anne Ngoja waje πkweli panataka kufanana na sehemu safi sana kwa zoezi.. enzi zangu napiga gym nilikuwa nimejaa kinoma zaidi ya hapo. ππ.. kuna watu watakuja kupinga tu
Tumbo na mashavu yananiuma kwa kuchekaKama nawaona wakina Heaven Sent na mwenzake Saint Anne Ngoja waje π
Eeeeeh!????kweli panataka kufanana na sehemu safi sana kwa zoezi.. enzi zangu napiga gym nilikuwa nimejaa kinoma zaidi ya hapo. ππ.. kuna watu watakuja kupinga tu
Hakika hawakubahatika, they didn't give upTrue dat!![emoji1477][emoji1477]
Yeahh...I'm sure he has coz he's been at it for a minute. Nadhani ni mmoja wa waliobahatika kuijulia.
kwani vipi πππ umetumwaa eeh ππEeeeeh!????
Gym!!π€£π€£π€£π€£π€£
Siku hizi nimeanza kuwa mdada taratibu
Heee!kwani vipi πππ umetumwaa eeh ππ
Niliona ila nikajifanya sijaviona
Halafu ikawajekweli panataka kufanana na sehemu safi sana kwa zoezi.. enzi zangu napiga gym nilikuwa nimejaa kinoma zaidi ya hapo. [emoji4][emoji4].. kuna watu watakuja kupinga tu
Uliza beiπNiliona ila nikajifanya sijaviona
Kuna movie nilikuwa na act wakalazimisha nipungue.. ndio nikawa hiviHalafu ikawaje