Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,522
- 5,585
Hahaaaaaa, lakini always uwekezaji una kula na kuliwa. Hata hivyo huyo atakuwa tayari anajua namna ya kulinda CapitalKwakweli. Mpaka nimeanza kuwaza sijui nimpe tusenti twangu tuwili a-trade on my behalf [emoji848]
Sema ndo hivyo siku ikiwa mbaya naweza kulia [emoji16]
Mfungo mwema dada 🤣🤣🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️Hahahaaa....
Shukuru ni qwaresma.! Mimi na wewe vita yetu ni serious baada tu ya Mfungo wa siku 40, na usipofunga Mimi siyo dada yako..!
Nakubariki katika Jina la BWANA.Heaven Sent mamaaa pastaaa tubariki basi 😊😊😊
Wewe binadamu unaweza kumbariki mwanadamu mwenzio?Nakubariki katika Jina la BWANA.
Si ulisema picha ushaipata?
Yes inawezekana kabisa. Hata tu mzazi wako ana uwezo wa kukutamkia baraka au laana na ikakaaWewe binadamu unaweza kumbariki mwanadamu mwenzio?
Tupia picha HS
Neemaaaa za Allah bwanaaa weeeee.. pucha gani nimepata 😳😳Nakubariki katika Jina la BWANA.
Si ulisema picha ushaipata?
Neema uliziona wapi?Neemaaaa za Allah bwanaaa weeeee.. pucha gani nimepata 😳😳
Ndiyo HS Ila nna bahati mbaya, kila niliingia nakuta unasifiwa tu. Fanya moja kwa ajili yangu tuYes inawezekana kabisa. Hata tu mzazi wako ana uwezo wa kukutamkia Baraka.
Hivi Kashaija umeshawahi kuselfika kweli?
Usinifanyie ivyooo Binaaaaa 😃😃😃Neema uliziona wapi?
Watu wa JF huwajui kwani? Wasipokusifia utaacha kuselfika 😂😂😂Ndiyo HS Ila nna bahati mbaya, kila niliingia nakuta unasifiwa tu. Fanya moja kwa ajili yangu tu
Eeh bina bongeUsinifanyie ivyooo Binaaaaa 😃😃😃
kidogo usiku uwe mtamu bina kimbau mbau 😃😃😃 na nafsi yangu ifurahi, ikitumie zawadi yakoEeh bina bonge
Angalau kwaresmaWatu wa JF huwajui kwani? Wasipokusifia utaacha kuselfika [emoji23][emoji23][emoji23]
EwaaaNani kimbaumbau?View attachment 2136531
Baadhi ni wakweliWatu wa JF huwajui kwani? Wasipokusifia utaacha kuselfika [emoji23][emoji23][emoji23]
Uwasalimie sana ndugu zakoEwaaa
Wige banaNaam
Eeh ndio[emoji1787]
Bina sio fair sijaona hata jamani 😢😢😢Uwasalimie sana ndugu zako