Kwakweli. Mpaka nimeanza kuwaza sijui nimpe tusenti twangu tuwili a-trade on my behalf π€Safi sana ndio inavyotakiwa.. na kweli ni good day.. $ 700 si haba ππ
πππ Shtuka baada ya kula bana.
Rich dude bana. πRich Girl.
Naam wacha tufanye mazoezi nkamu [emoji4][emoji4]Kata mitaa Nkamu
Kabisa [emoji846][emoji846]Ewaaaaah momma mwenyewe, huna mambo mengi yaan [emoji7][emoji7][emoji7]
Kila la heri nkamu salamu zao mtaaniNaam wacha tufanye mazoezi nkamu [emoji4][emoji4]
[emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590]Kabisa [emoji846][emoji846]
Usijaribu usijaribu.. msije shikana mashati soko halinaga rafiki wa kudumu.. kinachotuokoa ni RM tuKwakweli. Mpaka nimeanza kuwaza sijui nimpe tusenti twangu tuwili a-trade on my behalf π€
Sema ndo hivyo siku ikiwa mbaya naweza kulia π
Nipo mkao wa kula hapa nasubiri.Inakuja...
Anne naomba noti moja tu utabarikiwa sanaaa.
Naomba 1 tu mama mchungaji
Mwaisaaa nakuona upo na kibundaaaaa mwaisaaa πππ
Kama umekataa kuja mama pastaa kumbe hii ndio njia yako nitakuotea tu
Ndiyo nasogea sogea hiyo gari yako inikute karibu kidogoKama umekataa kuja mama pastaa
Utaona ki ist cha pink kimepaki hapo pembeni mbele kidogo ya mzunguko huo pembeni pale ya kale hotel ππNdiyo nasogea sogea hiyo gari yako inikute karibu kidogo
Usijali πNipo mkao wa kula hapa nasubiri.
Naingia hapo, naendesha bodabodaUtaona ki ist cha pink kimepaki hapo pembeni mbele kidogo ya mzunguko huo pembeni pale ya kale hotel [emoji4][emoji4]
Kwa kile....... sio cha kukalia boda boda πΆπΆπΆπΆπΆ.. kile kinakalia vitu soft bina πππNaingia hapo, naendesha bodaboda