Yaani watu tumeibuka from nowhere. Mama Mchungaji una ushawishi wa hali ya juu. Ningejua huduma yako iliko huko Uyole aisee ningefika kwa ajili ya maombezi wallahi!
Imagine mi wala sikuwa na hili wala lile lakini Roho Mtakatifu Akanishawishi kufungua uzi dah!
Yaani watu tumeibuka from nowhere. Mama Mchungaji una ushawishi wa hali ya juu. Ningejua huduma yako iliko huko Uyole aisee ningefika kwa ajili ya maombezi wallahi!
Imagine mi wala sikuwa na hili wala lile lakino Roho Mtakatifu Akanishawishi kufungua uzi dah!