raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,860
- 36,958
Kipindi nasoma wangekua wanatupa picha kama hizi ingekua raha sanaView attachment 2130533
What type of photography is this?(2 Marks)
What is the time when the photography was taken (2 marks)
What are economic activities carried out in that area? (6 marks)
Geography ni ๐๐
Marahabaaaaaaa! Kwema huko? Asante kwa picha nzuri. Niko bado naibung'alia hapa mpaka nakoswa koswa kugongwa na magari. Ukiongeza na ushamba wa Kisukuma basi shida tupu [emoji16]Shikamoo
Mkuu umekuja kuwekeza kwenye kilimo cha sato au sangara? Karibu sana!Lake zone View attachment 2130589
Pole sana mpwa, msiba wa nani?Acha tu
Msiba๐คฆ
๐๐๐๐๐๐Kipindi nasoma wangekua wanatupa picha kama hizi ingekua raha sana
Tulikua tunapewa picha blck n white unabaki unajiuliza huu ni mti mto au kichwa cha mtu ๐๐๐
Mwaka unaanza vibaya mapema.Pole sana mpwa, msiba wa nani?
Apumzike salama anko wako. Na mliobaki Roho Mtakatifu Akawafariji. Mauti! [emoji706][emoji706][emoji706]Mwaka unaanza vibaya mapema.
Mjomba.
Namuonea huruma maza yaani.
Amen๐Apumzike salama anko wako. Na mliobaki Roho Mtakatifu Akawafariji. Mauti! [emoji706][emoji706][emoji706]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlongo niyogopa lepa, kwani yene ye amarulah yilewesha Muni hoti? Apu ninu ge mawazo cha gihuma na kyani? Koto kuvya ye pombi ya muhiduka?Mweeeee... uyogopa lepa kuhehelee kusika?
Wacha wee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mweeehh.... Wengine wanatamani banaa.. Ukizingatia wanadamu huwa wanatamani kile wasichokuwa nacho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yatakukuta mambo wee mkaka lol.mhhh!!! wee mtoto unajua kudeka, hizo jomoneeee sasa loh!!!!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kipindi nasoma wangekua wanatupa picha kama hizi ingekua raha sana
Tulikua tunapewa picha blck n white unabaki unajiuliza huu ni mti mto au kichwa cha mtu [emoji1][emoji3][emoji3]
Ndyoooooh. [emoji23][emoji23][emoji23]
Eeeh nyieee hatupo ndongosi/lituhi hapa... kiswahili please๐คฃ๐คฃ๐คฃ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlongo niyogopa lepa, kwani yene ye amarulah yilewesha Muni hoti? Apu ninu ge mawazo cha gihuma na kyani? Koto kuvya ye pombi ya muhiduka?
Afu mlongo na veve nigana unipela hela nikagulahi chakulya, ama ugana nifwa na njala Pa mbwani hapa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilindila penapa koto kunitila uyuwini nde? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aise huo ushamba wa kisukuma inabidi upunguze [emoji28]Marahabaaaaaaa! Kwema huko? Asante kwa picha nzuri. Niko bado naibung'alia hapa mpaka nakoswa koswa kugongwa na magari. Ukiongeza na ushamba wa Kisukuma basi shida tupu [emoji16]
Cc nawee nasubiri hapa muamala wako, upo tayar nife na njaa jijini hapa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eeeh nyieee hatupo ndongosi/lituhi hapa... kiswahili please[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
๐๐๐๐๐ Na unakufaje na njaa na yo cc nipo hapa nahesabu madollaree๐Cc nawee nasubiri hapa muamala wako, upo tayar nife na njaa jijini hapa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]