Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
1. Landscape photographyView attachment 2130533
What type of photography is this?(2 Marks)
What is the time when the photography was taken (2 marks)
What are economic activities carried out in that area? (6 marks)
Geography ni ππ
Bado weweVale jilipue
Selfika mkuu wamesinzia
Simama kidogo mdogo angu nione guu vizuri
Nimeona "kikuku" na beer tu[emoji4]
Aisee hili somo [emoji28][emoji28]View attachment 2130533
What type of photography is this?(2 Marks)
What is the time when the photography was taken (2 marks)
What are economic activities carried out in that area? (6 marks)
Geography ni [emoji119][emoji119]
vikuku vizuri πππ wazee wanafaidi πΆπΆ
Ungejua nina vimiguu kama njiti za chelewa[emoji28]Simama kidogo mdogo angu nione guu vizuri
Hujaona kitenge changu kizuri jamani my ex[emoji4]Nimeona "kikuku" na beer tu[emoji4]
Mengine nimeshindwa kucomment hapa. Bdae nitakupigia tuongee vzrHujaona kitenge changu kizuri jamani my ex[emoji4]
Ungejua sina lolote[emoji28]vikuku vizuri [emoji3][emoji3][emoji3] wazee wanafaidi [emoji124][emoji124]
πππ Vikuku vimekupendeza.. unachochote asee.. bila chochote usingekuwa popote.. na sie tukiwa wazeee tutafaidi tuUngejua sina lolote[emoji28]
Somo hili nilitokea kulipenda sana wakati ule nasoma lakini tangu niliposhindwa kuelewa Physical Geography kutokana na Usharo wa Mwalimu wangu, nikasema bora nikasome zangu PCM tu kuliko kwenda kutia aibu kusoma PGM alafu nije nikose hata principal pass kwenye Geography πAisee hili somo [emoji28][emoji28]
Nitaomba external examiners wa JF waje wasahishe paper yako ππ1. Landscape photography
2. Couple hours before sunset
3. Hapo wachuuzi mkuu
πππ tulipiga sana hizi kipindi tupo na course ya land navigation skills.. hatari sanaSomo hili nilitokea kulipenda sana wakati ule nasoma lakini tangu niliposhindwa kuelewa Physical Geography kutokana na Usharo wa Mwalimu wangu, nikasema bora nikasome zangu PCM tu kuliko kwenda kutia aibu kusoma PGM alafu nije nikose hata principal pass kwenye Geography π
Ila ni somo zuri sana hasa Map reading, Photography, Regional and Focal studies, Statistics n.k ambapo ilikuwa marks nyingi lakini ni za uhakika πͺ
Kumbe dili ni vikuku eh[emoji56][emoji56][emoji56] Vikuku vimekupendeza.. unachochote asee.. bila chochote usingekuwa popote.. na sie tukiwa wazeee tutafaidi tu
Ewaaaa... vikukuuu, vipini, tatooo ugonjwaaa kabisa wa kijana wa hovyo hovyoo.. jamaa mpe hongera πππKumbe dili ni vikuku eh