Selfika na JF: Snap it. Show it

[mention]Lizzy [/mention] nina njaa nawaza yale maandazi niliona jana,Hamna namna yakanifikia hata mawili? Naweza subiria pale karibu na PG nini pale [emoji1787] karibu na Embassy ya wakulungwa.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Perfect timing πŸ‘ŒπŸΎ
Njoo, ukifika reception kwenye jengo letu la blue & white waambie umefuata PGO 1.2 upewe kamzigo kako 😁
 
Unaogopa tutakuintavyuu bila kuzingatia PGO?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Siwezi kukufanyia hivyo [emoji851]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tena sio intavyuuu , hiyo imekaa ki friendly but friendly in name only [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tena sio intavyuuu , hiyo imekaa ki friendly but friendly in name only [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🀣🀣🀣🀣
Haswa ikiwa kuna faili lako kwa mkuu wa kitengo kuhusiana na zile πŸ’΅ πŸ’΅ unazotupiaga humu πŸ™ŠπŸ™Š
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…