mmmhTotoz zenyewe ndio zinapenda sura za kazi sasa!!
Kwani unao wangapi tena?Baby yupi?
Nikirudi Dar es salaam naweza kuagiza.Karibu mkuu , wapo wa kutoshaa
Humu nipo single bado[emoji848]Kwani unao wangapi tena?
Selfie moja my exHili fukuto la leo ni kama limezidi aise, hapa nimekaa mkao wa kusubiri usingizi sioni dalili
Unakwama wapi my ex?Humu nipo single bado[emoji848]
Tumekubaliana mpaka utume JD [emoji9]Selfie moja my ex
Na inyeshe tu aise, angalau tupumue. Mpaka natamani kurudi Arusha tena[emoji28]Nadhani ni maandalizi ya masika
Mimi nakutumia shusha mzigo bestTumekubaliana mpaka utume JD [emoji9]
JD nakuletea mwenyewe fridayTumekubaliana mpaka utume JD [emoji9]
mmmh
Utakua umeisoma tu[emoji28]Jack Palladino umefuta nini??
Hapana nimeona notification ya mention kuclick nakuta requested page could not be found kha!Utakua umeisoma tu[emoji28]
I thought umelalaHapana nimeona notification ya mention kuclick nakuta requested page could not be found kha!
I thought umelala
Nilikua najibu hii msg mahondawUnakwama wapi my ex?