Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,522
- 5,585
Mtakatifu Saint Anne unajua value chain ya bia inavyofaidisha mamilioni. Sio upuuzi. Btw beers ni refreshing agent kama ilivyo kahawa, soda n.k ni Kwamba tu imekushindaYaani chupa za bia zinatengenezwa vizuri na kwa kupendeza mno,,zimenakshiwa kana kwamba kilichopo ndani kinaeleweka ,kumbe ni upuuzi tu humo ndani.
Jack Daniels, kimiminika kinachochujwa na mkaa Kwa miezi kadhaaHivi huyu JD si ni mwanamuziki,au kuna Jay Dee mwingine katoka!
Mbona mnanichanganya jamani!
Sawa ntakukumbushaNililala mpenzi. Usiku ntatupia
Naomba Mungu usahauSawa ntakukumbusha
Huu unyama sana.. SAHARA Horizon Limited edition, na VXR.. huwa nazielewa sanaaaaa yaaaniShort break > mtwara - dsm - mbeya # hustlemode# View attachment 2124599
Nikikuta unyama una kitu kama hii.. huwa najipiga piga kifua na kusema one day hapa mjep kanishikaShort break > mtwara - dsm - mbeya # hustlemode# View attachment 2124599
Hapa ndio nakumbuka aseee.. na jana umekausha tu 😔
Mkuu usifananishe soda na vitu vya ajabu😂.Mtakatifu Saint Anne unajua value chain ya bia inavyofaidisha mamilioni. Sio upuuzi. Btw beers ni refreshing agent kama ilivyo kahawa, soda n.k ni Kwamba tu imekushinda
Na nilikuwa nakuona tu🙂Hapa ndio nakumbuka aseee.. na jana umekausha tu 😔
sikuwa nakumbuka, hapa ndio nimekumbuka. Mungu akijali next weekNa nilikuwa nakuona tu🙂
Nilistuka nikawaza kwamba kumbe bia mpya imetoka mimi sijui! Kumbe ndio hiyo yenye jina la Palladino..wamelikatisha na hawasemi!🙆♀️Jack Daniels, kimiminika kinachochujwa na mkaa Kwa miezi kadhaa
Yaani kwamba ulisahau kabisa😒sikuwa nakumbuka, hapa ndio nimekumbuka. Mungu akijali next week
Ndio nimekumbuka mada huu.. pia ulitakuwa kunikumbusha jana.. huenda wote tulipitiwa maana makubaliano ilikuea jumamosi nikupe maelekezoYaani kwamba ulisahau kabisa😒
Mimi nilikuwa nakumbuka na ijumaa nikakukumbusha humuNdio nimekumbuka mada huu.. pia ulitakuwa kunikumbusha jana.. huenda wote tulipitiwa maana makubaliano ilikuea jumamosi nikupe maelekezo
🤚🤚
Sawa, Mungu ajalie uzima. Next weekMimi nilikuwa nakumbuka na ijumaa nikakukumbusha humu