True story, mkuu.Halafu unajua nini? Ukiwa bado mdogo sisi wanaume tunakuwa na hizi fantasies za ajabu ajabu. Mke wangu sijui lazima awe hivi, sijui vile. Utoto mwingi!
Tunasahau kwamba kwa kadri muda unavyokwenda mwili wa mwanamke hubadilika sana. Matokeo ya uzazi, mfumo wa maisha na umri. Hiyo pisi kali kimodo yenye kiuno kama nyigu na vititi mchongoko kifuani kama mkuki wa morani huenda huko mbele ya safari ikabadilika sana mpaka ukashangaa. Hapo ndipo kimbembe kinapoanza hasa kama sifa kuu ya mapenzi yenu yalikuwa ni ulimbwende wa mwili. Ooh mke wangu kabadilika. Ooh hana mvuto siku hizi na blah blah kibao.
Hao akina mama kwenye hiyo picha likely wako mid 40s au late 30s. Kwa kuwaangalia tu wakati wao ni wazi pengine walikuwa visu hatari hata kukidhi vigezo vyako...
Kwa sisi wazee tumeona mengi na haya yote nayaongea kutokana na experience. Msichague wake wa kuoa kwa kuangalia maumbo yao wakati wakiwa under 30. Tia akilini kuwa baada ya watoto watatu na miaka 20 huko mbele ya safari huyu mke wangu atakuwa na umbo gani? Wewe utakuwa na umbo gani? Kama ulimuoa kwa ajili eti kimbaumbau au bonge, vipi akibadilika na kuwa tofauti kabisa na ulivyompenda utafanyeje? Ndoa inakufa? Mapenzi yanakufa? Unatafuta mchepuko au unaoa mwingine?
Ukiweza kuyajua majibu ya maswali haya basi hutasumbuka na vigezo hivi bandia kama uzuri wa mwili - kwa sababu mapenzi yenu yatasimikwa katika vigezo vingine vya kudumu na muhimu zaidi kuliko tu uzuri wa mwili (japo nao ni muhimu pia)...
#Busarazawazee
Wigelekelo aje atoe neno🤣
Wewe si unakuja Dar na hautaki kututafuta.Wivu sina ila roho inauma hamjanialika na dada ako
Unamtia moyo🤣We have our very own special outing dadangu.
Tulia hivyo hivyo mkuu shemeji....wanamsahau vipi dada mkubwa?
Mlimani city hapa wanapiga mnada vitu mbalimbali.Kwa misingi ipi
Akaninywesha na zile kahawa za kishua🤗Wewe tena na kaka ako; mbona no comment
Naomba unitumie
Hongereni sana wanasimbaOoh yes
Hata kama ni FA Simba bado tupo vyema
Igweee Igweee Igweee Igweee Igweee IgweeeWe have our very own special outing dadangu.
Tulia hivyo hivyo mkuu shemeji....wanamsahau vipi dada mkubwa?
Wewe si unakuja Dar na hautaki kututafuta.
Halafu leo hatukuplan kuonana,,imetokea tu kiutani tunachat humu .
🤣🤣🤣🤣🤣
Unamtia moyo[emoji1787]
Inabidi tuandae hii outing mtumishi[emoji6]
Asante kaka rafiki ..Hongereni sana wanasimba
Hivi unadhani ataandaa hiyo outing halafu mimi nisiwepo!🤣Igweee Igweee Igweee Igweee Igweee Igweee
Aisee kuna mtu atakonda siku hiyo; atapata tabu sanaaaaaa
Akaninywesha na zile kahawa za kishua[emoji847]
[emoji120][emoji120]Halafu unajua nini? Ukiwa bado mdogo sisi wanaume tunakuwa na hizi fantasies za ajabu ajabu. Mke wangu sijui lazima awe hivi, sijui vile. Utoto mwingi!
Tunasahau kwamba kwa kadri muda unavyokwenda mwili wa mwanamke hubadilika sana. Matokeo ya uzazi, mfumo wa maisha na umri. Hiyo pisi kali kimodo yenye kiuno kama nyigu na vititi mchongoko kifuani kama mkuki wa morani huenda huko mbele ya safari ikabadilika sana mpaka ukashangaa. Hapo ndipo kimbembe kinapoanza hasa kama sifa kuu ya mapenzi yenu yalikuwa ni ulimbwende wa mwili. Ooh mke wangu kabadilika. Ooh hana mvuto siku hizi na blah blah kibao.
Hao akina mama kwenye hiyo picha likely wako mid 40s au late 30s. Kwa kuwaangalia tu wakati wao ni wazi pengine walikuwa visu hatari hata kukidhi vigezo vyako...
Kwa sisi wazee tumeona mengi na haya yote nayaongea kutokana na experience. Msichague wake wa kuoa kwa kuangalia maumbo yao wakati wakiwa under 30. Tia akilini kuwa baada ya watoto watatu na miaka 20 huko mbele ya safari huyu mke wangu atakuwa na umbo gani? Wewe utakuwa na umbo gani? Kama ulimuoa kwa ajili eti kimbaumbau au bonge, vipi akibadilika na kuwa tofauti kabisa na ulivyompenda utafanyeje? Ndoa inakufa? Mapenzi yanakufa? Unatafuta mchepuko au unaoa mwingine?
Ukiweza kuyajua majibu ya maswali haya basi hutasumbuka na vigezo hivi bandia kama uzuri wa mwili - kwa sababu mapenzi yenu yatasimikwa katika vigezo vingine vya kudumu na muhimu zaidi kuliko tu uzuri wa mwili (japo nao ni muhimu pia)...
#Busarazawazee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tena ukiendelea kujishaua utapishana na ofa yako ile umepewa jana.
Kuwa na amani kuipokea, kaka a very good person.